Saturday, October 27, 2012

Thursday, October 25, 2012

FIKSI ZA DINGI

Sikia fiksi za dingi mmoja "Mwanangu mie ni mtu mkubwa sana hapa duniani, nimezunguka nchi nyingi sana hapa duniani mfano England... Read more »

VJIMAMBO VYA UTOTONI

Tuesday, October 23, 2012

MGAO WA MAJI

Jamaa alimwonea huruma mwanamke kila siku kusimama katika foleni ya maji, akamwambia "nikuoe utapumzika kwangu kuna kisima," mwa... Read more »

MKE MWENZA

 ".............Ilikuwa zamu ya Mke mdogo, pamoja na mlio wa kitanda kilicholemewa na mpambano mkali sauti laini ilisikika toka chumba... Read more »

Saturday, October 20, 2012

PANYA WA TATU!!

Siku moja Panya watatu walikuwa na ubishano mkali juu ya nani ni m'babe kuzidi wenzake, ubishi wenyewe ulikuwa hivi......... PA... Read more »

Friday, October 19, 2012

SIMPLE LOGIC

"......niliambiwa ulipokuwa mdogo ulikuwa unapenda mchezo wa kukimbia kwenye mvua ukiwa uchi, je? kwa umri huu wa sasa unapendelea... Read more »

HESHIMU NCHI YAKO!!!

Mwanamke moja alimpa Mume wake radio aende nayo Chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alivyotoka akamuuliza ... Read more »

Tuesday, October 16, 2012

UTAISOMA NAMBA!!!!!!!!

Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara! Kwa kuwa wako mbali mbali mikoani,akamwandikia barua, (Nimepata mpenzi mwengine... Read more »

Monday, October 15, 2012

KUTOKA MAHAKAMANI

Mhindi alikua akitoa ushahidi dhidi ya jamaa aliyefiwa na dame guest house wakati wanasex. HAKIMU: Shahidi ielezee mahakama ulivyo... Read more »

Saturday, October 13, 2012

BUSARA ZA KICHINA

Wachina si WAPUMBAVU kutengeneza vitu feki kulingana na fedha uliyonayo. Hata WALIMU tujitahidi kuboresha bidhaa zetu (WANAFUNZI) kati... Read more »

Thursday, October 11, 2012

MAAJABU YA DUNIA

Hivi ni kwa nini tunanga'ng'ania sana kuingiza mlima kilimanjaro katika maajabu saba ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! kim... Read more »