Thursday, October 11, 2012

MAAJABU YA DUNIA


Hivi ni kwa nini tunanga'ng'ania sana kuingiza mlima kilimanjaro katika maajabu saba ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! kimojawapo hii ni nchi ya kwanza watoto wa darasa la saba  kuhitimu bila kujua kusoma na kuandika ila wanafahulu mitihani. Kwanini tusitumie hayo yawe maajabu ya kwanza ya dunia? ili mwalimu wa Tanzania naye apate heshima.