Saturday, May 18, 2013

NDOA YA SHOGA


Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "mashoga" wawili
alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? Mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED."