Saturday, March 3, 2012

MGAMBO WA JIJI

Kuna jamaa mmoja alikuwa anajisaidia haja ndogo sehemu ambayo hairuhusiwi, wakati akikamilisha zoezi lake hilo, mgambo wa jiji alitoke... Read more »

NAKUPENDAAAAAAAAAAAA

Kwenye maskani moja ya vijana hapa jijini hali haikuwa shwari kwa kijana mmoja kwani alikuwa mwenye huzuni kila wakati na hili lilitokana ... Read more »

KOFIA YANGU NIMEPEWA ZAWADI

Kuna babu mmoja toka Zanzibar alikuwa anasafiri katika meli toka Unguja kwenda Dar. Alikuwa amevalia kanzu kumbe huku ndani akiwa ame... Read more »

PANYA DUME

Akiwa amekaa kijiweni kwa muda mrefu bila kupata abiria, dereva teksi alishikwa na hali ya kutaka ‘kupumua’ hewa chafu hivyo kuamua k... Read more »

DAWA YA MOTO NI MOTO

Kweli uswahilini kuna vituko, hii ilitokea juzi mtaani kwetu, kuna jamaa mmoja alikuwa ni fundi wa pikipiki lakini uwezo wake haukuwa ... Read more »

SITI YA DEREVA

Wakati watu wanagombania kupanda kwenye basi la kwenda Mbagala kama kawaida yao, bibi mmoja alipanda bila shida akapata siti na kukaa.... Read more »