Saturday, October 20, 2012

PANYA WA TATU!!


Siku moja Panya watatu walikuwa na ubishano mkali juu ya nani ni m'babe kuzidi wenzake, ubishi wenyewe ulikuwa hivi.........

PANYA 1: "Hata mtego uwekwe vipi mie nategua tu bila shida"

PANYA 2: "Mimi hata maziwa yawe yamewekwa sumu, mie nayanywa tu"

Panya wa tatu  yeye akaanza kuondoka, wenzake wakamuuliza "wewe vipi ?" Akajibu "naenda kumtomba paka!"