Monday, November 12, 2012

NI BEEBE NI BEEBE!!Mwizi acha atoe kali Mahakamani baada ya kusomewa mashitaka yake kuhusu wizi wa simu ya kiganjani, basi akapewa nafasi ya kujitetea ikawa hivi 

“Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita NIBEEBE NIBEEEBE, UNICHUKUE NIBEEBE, MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA! Ndo nikaichukua.”  Hakimu hoi!! Tahadhari, hakikisha muito wa simu yako ya kiganjani haukushitaki.