Friday, November 16, 2012

DEREVA NA MASAITobaa leo mchana nimeona kituko cha funga mwaka! Maasai alikuwa akigombania gia ya daladala na Dereva,

 watu tukajaa kuuliza tatizo, Dereva akasema  Maasai anataka kung’oa gia ya gari! Maasai akajitetea kuwa alikuwa anadhani ni kirungu kwa hivyo alitaka kumsaidia dereva kuking’oa.