Sunday, November 11, 2012

MZEE NA BINTI YAKE MJAMZITOMzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa ujauzito huku akitweta kwa hasira. Walipofika:


KIJANA: Mzee ni kweli nimempa binti yako ujauzito, ila akizaa dume nitakupa Daladala kumi, Sheli tatu na shilingi milioni hamsini za mtaji. Akizaa Jike, nitakupa Supermarket tatu, Mashamba sita na shilingi milioni arobaini
BINTI: Je mimba ikitoka?
MZEE: Nyamaza wewe! Pumbavu si atakupa ujauzito mwingine.