Saturday, November 24, 2012

MSUKUMA NA KACHUMBARI

PILAU
Kuna msukuma mmoja alienda hotelini akaagiza pilau
mhudumu: akamletea pilau na kachumbali juu
msukuma:akauliza pilau shilingi ngapi?
mhudumu:Tsh. 2000/=
msukuma: na kachumbali bei gani?
mhudumu:ni bureee kabisa
msukuma: niletee sahani 5 za kachumbalii yenyewe.