Saturday, November 10, 2012

WASAMBAA WAWILI BAR


Wasambaa wawili waliingia mjini juzi tu. Walienda kupata moja moto moja baridi, wakiwa wanashangaa shangaa hawajui wanywe nini, 

Wachaga wakaingia kwa mbwembwe “Eeeh Bwasheeee lete Kilimanjaro baridi kama tulivyo. Mara na wale Wasambaa wakalipuka “lete na Lushoto baridi.” Watu “Aaaaaaaaah!” mjini kweli kuna mambo.