Wednesday, November 21, 2012

KASUKU NA KUKU ALIYEGANDA!

parrot
Kasuku kameza vidonge vya Viagra. Kuona hivyo mmiliki wake akamchukua nakumuweka ndani ya friza ili apoe. Baada ya masaa mawili akafungua friza ili amuangalie kama ameganda, akamuona kasuku anatokwa na jasho jingi.
Akamuuliza kasuku inakuwaje umekaa kwenye friza muda wote huu lakini unatokwa na jasho? Kasuku akajibu hivi unatambua ni nguvu kiasi gani nimetumia kupanua mapaja ya kuku aliyeganda?