Saturday, November 17, 2012

MGENI NA MWENYEJI WAKE

MGENI NA MWENYEJI
Wageni wengine hatari, hebu sikia hii:
MWENYEJI: “Utakunywa Soda au Chai?”
MGENI: “Nitakunywa Soda wakati na subiria Chai ichemke.”
Mwenyeji kaishiwa pozi.
UNGEFANYAJE WEWE?