Friday, April 19, 2013

ETI NI KWELI?


Mmmmmh!!! Watu wanakusema sana nimeshindwa kuvumilia bora nikuambie tu kama ukinuna poa.
Eti wanasema 'ukinya' unatuna kama golikipa. Eti ni kweli?