Friday, September 7, 2012

ZOEZI LA SENSA 2012

MAKARANI WA SENSA WALIVYOPATA TABU NA MAJINA YA WATU HUKO MBEYA, HII NI FAMILIA MOJA (......) ANAITWA AMFUGILE MWAKIVUZI, WATOTO 1.. A... Read more »

Thursday, September 6, 2012

UALIMU KAZI

Kweli ualimu kazi!! Ticha kajamba darasani, kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima, kurudi akawauliza wanafunzi tuliishia wapi? wakajibu... Read more »

Sunday, September 2, 2012

MAMBO YA MTANDAO

Jamaa kafika kijijini akakuta mtandao upo vizuri Akamwandikia mkewe sms,bahati mbaya akaituma kwa mwanamke mjane. watu walikuwa bado w... Read more »

MCHAGA NA HELA

Wachaga na pesa noma. Mtoto; Mama nimemwomba baba fedha kidogo nikasuke nywele akaninyoa nywele zangu...  Mama; una bahati mwanang... Read more »

WAMEKOSEA JINA LANGU

Jamaa mwoga alikuwa anapita makaburini usiku akamwona mtu anachonga maandishi kwenye jiwe la kaburi akajisikia faraja kuwa hayuko peke... Read more »

MAPROFESA

Mtoto alijadili matokeo yake ya shule na baba yake mambo yalikua hivi  BABA:mwanangu kwa vile umefeli sikuachi lazima nikupige magon... Read more »

HUJAMUONA MWIZI KAPITA HAPA??

POLICE walimfukuza mwizi aliyetoroka jela usiku, yule mwizi akakimblia makaburini huku akavua nguo zote na kuamua kukaa kwenye kaburi... Read more »

ILE GLASI YA BIBI

MSHIKAJI MOJA BAADA YA KIU KUM'BANA IKABIDI AGONGE NYUMBA YA KARIBU KUOMBA MAJI, AKAPEWA MAZIWA; MSHIKAJI AKAOMBA TENA, AKAPEWA TE... Read more »

MZUNGU BONGO

Jamaa alimtokea mzungu akamwambia ILOVE U, mzungu akamjibu ILOVE 2 Jamaa akamwambia ILOVE 3, Mzungu akaduwaa akasema what for? Jamaa ak... Read more »

MAPULIZO

Mtoto alimkuta mama yake kakaa kifua wazi akamuuliza mama hyo nini mama akajibu haya mapulizo yule mtoto akasema basi jana nimemuona ba... Read more »

MBONA HAUJANIALIKA?

Chizi wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nime... Read more »

ENZI ZA UJANA WETU

Jamaa mmoja alimwambia mkewe: unaonaje tukajikumbushia zile enzi za uchumba wetu? Mkewe akakubali kwa kusema "sawa sio vibay... Read more »

MTAMBO WA KUREKEBISHA TABIA

Wajapani waliunda mashine ya kukamatia wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio. Urusi baada nusu saa ikakamata wezi 40. Jamaica ... Read more »