Sunday, September 2, 2012

MAPROFESA


Mtoto alijadili matokeo yake ya shule na baba yake mambo yalikua hivi 
BABA:mwanangu kwa vile umefeli sikuachi lazima nikupige magongo 
MTOTO:heee ingekua magongo ndio solution punda wote wangekua maprofesa,