Sunday, September 2, 2012

ENZI ZA UJANA WETU


Jamaa mmoja alimwambia
mkewe: unaonaje
tukajikumbushia zile enzi za
uchumba wetu?
Mkewe akakubali kwa kusema

"sawa sio vibaya"
Jamaa akamwambia mkewe "basi
kesho tukutane saa 4 garden",
mkewe akakubali. Siku ya pili
jamaa akafika garden akamsubiri

sana mkewe masaa mawili,lakini
hakutokea.
Jamaa kesho yake akamuuliza
mkewe "mbona hukutokea?"
Mkewe akamjibu "mama
alinkataza nistoke.