Sunday, September 2, 2012

ILE GLASI YA BIBI


MSHIKAJI MOJA BAADA YA KIU KUM'BANA IKABIDI AGONGE NYUMBA YA KARIBU KUOMBA MAJI, AKAPEWA MAZIWA; MSHIKAJI AKAOMBA TENA, AKAPEWA TENA MAZIWA.! IKABIDI AULIZE MBONA MNAGAWA MAZIWA KWA WINGI? DOGO AKAJIBU MAZIWA YAMEINGIA PANYA HIVYO KILA MTU HAYATAKI, MSHIKAJI AKAPIGWA NA BUTWAA GLASI IKAMPONYOKA NA KUVUNJIKA; DOGO KUONA VILE AKAPIGA KELELE "MAMA ILE GLASI YA BIBI ANAYOTEMEA MATE ISHAVUNJIKAAA" MSHIKAJI KUSIKIA VILE AKAZIMIA