Sunday, September 2, 2012

MZUNGU BONGO


Jamaa alimtokea mzungu akamwambia ILOVE U, mzungu akamjibu ILOVE 2 Jamaa akamwambia ILOVE 3, Mzungu akaduwaa akasema what for? Jamaa akamjibu what five?