Sunday, September 2, 2012

MBONA HAUJANIALIKA?


Chizi wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nimewaalika watu kwangu waje kula birani. Yule chizi wa kwanza akahamaki sana akamwambia mwenzake'' Mbona hujanialika na mimi''? Chizi mwenzake akamjibu: mi nlidhani bado upo UFARANSA.