Sunday, September 2, 2012

HUJAMUONA MWIZI KAPITA HAPA??POLICE walimfukuza mwizi aliyetoroka jela usiku, yule mwizi akakimblia makaburini huku akavua nguo zote na kuamua kukaa kwenye kaburi. Police walipokuja wakamuuliza "hujamuona mwizi kapita hapa?". Akajibu "mi mwenyewe mgeni ndio kwanza nimezikwa jana napunga upepo hapa"labda uwaulize waliolala miaka. Askari mbio!