Sunday, September 2, 2012

WAMEKOSEA JINA LANGU


Jamaa mwoga alikuwa anapita makaburini usiku akamwona mtu anachonga maandishi kwenye jiwe la kaburi akajisikia faraja kuwa hayuko peke yake ila akamuuliza "mzee mbona unafanya kazi usiku?" Yule mtu akamjibu "sipo kazini! Wamekosea jina langu nimetoka kidogo kurekebisha." Jamaa akazimia.