Sunday, September 2, 2012

MAMBO YA MTANDAO


Jamaa kafika kijijini akakuta mtandao upo vizuri Akamwandikia mkewe sms,bahati mbaya akaituma kwa mwanamke mjane. watu walikuwa bado wanamtumia sms za kumfariji.Aliposoma sms akazimia mwanae kuona mama kaanguka akaitazama ile sms.MKE WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU,HUKU NAKO KUNA MTANDAO KAMA HUKO.NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA KESHO YAKO TAYARI.NAKUSUBIRI WIFE.