Wednesday, December 19, 2012

HAPPY BIRTHDAY

Mke: kuna nini kwa jirani? Mme: kutakuwa na birthday Read more »

KALE KAHISIA UNAKOKAPATA UNAPOGUNDUA..

Tuesday, December 18, 2012

ETI HASIRA NI HASARA?

Baba na mtoto:  Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini?  Mtoto: Naenda chooni.  Read more »

MWIZI NA CHIZI

Mwizi kaiba tv na kuanza kukimbia nayo, kumbe ile nyumba mlikuwa na chizi akaanza kumkimbiza yule mwizi. Read more »

Monday, December 17, 2012

SIMBA

Kama siku ya kufa Nyani miti yote huteleza basi siku ya kufa Simba nyasi zote huteleza! Read more »

Friday, December 14, 2012

FAINI YA KUKOJOA HADHARANI

Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta. Read more »

TROLLING :D

KONDA HUYU KIBOKO

Msikie konda huyu; MLOKOLE:konda toa nyimbo za dunia weka za yesu. KONDA:samahani ndugu yesu mpka anaondoka hakuwahi kutoa albam ... Read more »

Thursday, December 13, 2012

LACK OF EFFORT

Teacher is fed up with the lack of effort in her so finally ask the class “stand up if you stupid” hoping to prove an important point.... Read more »

Tuesday, December 11, 2012

KAZI NI KAZI

MWALIMU:Haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake,haya wewe? MTOTO 1:Baba yangu injinia MWALIMU:Safi na wewe ... Read more »

Sunday, December 9, 2012

IPO UKURASA WA NGAPI??

Jamaa moja alitaka kuoa mwanamke mwembamba sana, wakati wa harusi mama mkwe akamjaza magazeti bibi harusi ili aonekane amenona, Read more »

Tuesday, December 4, 2012

MWIZI MAKABURINI

Polisi walimfukuza Mwizi aliyetoroka jela usiku, Mwizi alikimbilia makaburini na kuvua nguo zote na kubakia mtupu akakaa juu ya kaburi m... Read more »

Monday, December 3, 2012

KIROBA CHA EMBE

Jamaa wawili waliiba kiroba cha Embe kisha wakakimbilia chumba cha kuhifadhiwa maiti na bila kujua wakati wanaingia wakaangusha Embe m... Read more »

Saturday, December 1, 2012