Wednesday, December 19, 2012

HAPPY BIRTHDAY


Mke: kuna nini kwa jirani?
Mme: kutakuwa na birthday
Mke: ya nani?
Mme: itakuwa ya tuyu
Mke: tuyu ndio nani?
Mme: sijui ndio nan nimesikia wanaimba happybirthday tuyu