Thursday, January 3, 2013

KAPIGE MASTURBATION!!


Mwajiriwa: Boss umeniita?
Boss: Yeah, nimekuita nenda kapige punyeto
Mwajiriwa: (baada ya muda mfupi) sawa boss tayari nimepiga
Boss: Nenda kapige tena
Mwajiriwa: (baada ya muda mfupi) tayari nimeshapiga tena
Boss: Nenda kapige tena mara ya mwisho
Mwajiriwa: Boss nimeishiwa hadi nguvu, sina uwezo tena wa kupiga punyeto
Boss: Vizuri sana. Haya chukua funguo za gari mpeleke binti yangu nyumbani!.
Hahaha...Hii ndo dawa yenu madereva wazinzi!!!