Monday, January 7, 2013

PINGAMIZI LA NDOA


 
Mchungaji: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia. 
Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako 
Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!.
kanisa zima hoi!!