Monday, January 14, 2013

DENI LA MUDA MREFUJAMAA mmoja alikuwa akimdai mtu deni lililotimiza mwaka, ilibidi amfuate mdeni wake na mazungumzo yalikuwa hivi;
Mdai: Unajua deni linatimiza mwaka mmoja sasa?”
Mdaiwa: Basi tuliimbie happy birthday.”
Mdai alibaki kinywa wazi akiamini anayemdai akili yake si nzuri.