Friday, April 19, 2013

SHOGA


Katika harusi shoga kajichanganya na wanawake chumbani wakawa wanajifusha udi.
Yule msenge naye akachukua kanga akajifunika katika kuchuchumaa ajifushe udi, mapumbu si yakagusa kitezo ghafla akpiga kelele "yalaaa". Wakamuuliza vipi tena? akajibu kwa mashauzi SI HILI JISIMI LIMEGUSA MOTO!