Friday, April 19, 2013

JOHNJohn ni chizi katika hospitali ya vichaa kwa muda wa miaka 7.
Alipotaka kutoroka alifanya zoezi la kuruka geti kwa miezi 5, siku ya kutoroka aliaga marafiki zake na kuondoka lakini ghafla akarudi akiwa mnyonge wenzake wakamuuliza mbona umerudi? John akajibu nimekuta geti lipo wazi nikashindwa kuruka.