Saturday, March 30, 2013

NANI MJANJA?Mchaga alimkopesha Mpare Pesa,
shahidi akiwa Msambaa,muda wa kulipa ulipofika Mpare kwa Ubahili akaamua kujiua ili asilipe.Kuona hivyo Mchaga kwa kupenda Pesa nae akajiua ili akamdai Mpare hukohuko. Msambaa:"Tate nanee!Aloo lazima nikashuhudie ugomvi".Kwa kupenda umbea nae akajiua ili akashuhudie ugomvi.Nani Mjanja.