Friday, March 29, 2013

MAHARI

Jamaa aliposa,
akaambiwa mahari milion 5, akasema kwa mshangao : HEE! MILIONI 5? WAKATI HAPO KWA JIRANI NIMEAMBIWA LAKI 2 TU TENA ANA MIMBA KABISA.