Friday, March 29, 2013

SAMAKIMuuza samaki na mteja..........

Mteja: "Samaki bei gani?"
Muuzaji: "shilingi 5000"
Mteja: "Mwisho?"
Muuzaji: "Mkiani"
Mteja: "Mbona samaki mwenyewe kalegMuuza samaki na mteja..........
Mteja: "Samaki bei gani?"
Muuzaji: "shilingi 5000"
Mteja: "Mwisho?"
Muuzaji: "Mkiani"
Mteja: "Mbona samaki mwenyewe kalegea?"
Muuzaji: "Labda alikua shoga baharini....."
 Muuzaji: "Labda alikua shoga baharini....."