Thursday, March 28, 2013

TRAIN STATION


Jamaa wawili walifika Stesheni.
Wakakuta Treni ndio kwanza inaondoka; wakaanza kuikimbiza, mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka. Yule aliyebaki akaanza kucheka sana mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuuliza "Unacheka nini wakati umeachwa?" Akawajibu "Yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza!"