Friday, March 1, 2013

OTIENO MBOO

Miaka ya 1980, Timu ya Kenya ilikuwa na mchezaji tegemeo aitwae OTIENO MBOO.
Siku mbili kabla ya mechi muhimu, OTIENO aliumia mazoezini, vyombo vya habari vikaandika KENYA BILA MBOO. Rais wa KFF na waziri wa michezo wakaamuru waandishi wa habari wabadili vichwa vya habari. Siku ya mechi vyombo vikaandika KENYA YACHEZA MBOO NJE. Basi wasichana na mashoga walijazana uwanjani wakitegemea wachezaji wataingia uwanjani MBOO NJE.!!