Friday, March 22, 2013

MIAKA 18


Imetokea Manzese
Dogo mmoja umri 12, awaacha watu midomo wazi ni baada ya kuingia clab na kuagiza bia aina ya "kilimanjaro" kama vyupa 15. Kimbembe ni pale waiter anapo kuja na kuhitaji malipo. Mara dogo kazama mfukoni na kuchomoa bango la Kilimanjaro ambalo chini limeandikwa kwa maandishi makubwa. "ONYO HAIUZWI KWA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 18" (Hii ikiwa na maana wanapewa BURE). Kama wewe ndo waiter ungefanyaje???