Friday, March 15, 2013

CHOMEKA


Nilipochomeka! Daah ... akaichomoa akadai hajaizoea!
Nikataka kuichomeka tena akawa ameishikilia hataki niingize ikabidi nimvizie akiwa amelala. Safari hii nikachomeka taratibu! Aliposhtuka akakuta nimeshachomeka, akaichomeka tena. Hapo nikaamua nimuache ang'atwe na Mbu hadi asubuhi kwa sababu hajui umuhimu wa chandarua.