Wednesday, December 19, 2012

HAPPY BIRTHDAY

Mke: kuna nini kwa jirani? Mme: kutakuwa na birthday Read more »

KALE KAHISIA UNAKOKAPATA UNAPOGUNDUA..

Tuesday, December 18, 2012

ETI HASIRA NI HASARA?

Baba na mtoto:  Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini?  Mtoto: Naenda chooni.  Read more »

MWIZI NA CHIZI

Mwizi kaiba tv na kuanza kukimbia nayo, kumbe ile nyumba mlikuwa na chizi akaanza kumkimbiza yule mwizi. Read more »

Monday, December 17, 2012

SIMBA

Kama siku ya kufa Nyani miti yote huteleza basi siku ya kufa Simba nyasi zote huteleza! Read more »

Friday, December 14, 2012

FAINI YA KUKOJOA HADHARANI

Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta. Read more »

TROLLING :D

KONDA HUYU KIBOKO

Msikie konda huyu; MLOKOLE:konda toa nyimbo za dunia weka za yesu. KONDA:samahani ndugu yesu mpka anaondoka hakuwahi kutoa albam ... Read more »

Thursday, December 13, 2012

LACK OF EFFORT

Teacher is fed up with the lack of effort in her so finally ask the class “stand up if you stupid” hoping to prove an important point.... Read more »

Tuesday, December 11, 2012

KAZI NI KAZI

MWALIMU:Haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake,haya wewe? MTOTO 1:Baba yangu injinia MWALIMU:Safi na wewe ... Read more »

Sunday, December 9, 2012

IPO UKURASA WA NGAPI??

Jamaa moja alitaka kuoa mwanamke mwembamba sana, wakati wa harusi mama mkwe akamjaza magazeti bibi harusi ili aonekane amenona, Read more »

Tuesday, December 4, 2012

MWIZI MAKABURINI

Polisi walimfukuza Mwizi aliyetoroka jela usiku, Mwizi alikimbilia makaburini na kuvua nguo zote na kubakia mtupu akakaa juu ya kaburi m... Read more »

Monday, December 3, 2012

KIROBA CHA EMBE

Jamaa wawili waliiba kiroba cha Embe kisha wakakimbilia chumba cha kuhifadhiwa maiti na bila kujua wakati wanaingia wakaangusha Embe m... Read more »

Saturday, December 1, 2012

Saturday, November 24, 2012

MSUKUMA NA KACHUMBARI

Kuna msukuma mmoja alienda hotelini akaagiza pilau mhudumu: akamletea pilau na kachumbali juu msukuma: akauliza pilau shilingi ngapi?... Read more »

Thursday, November 22, 2012

MAMBA MWENYE HOFU

Siku moja hivi, Bibi alimtuma Toma mjukuu wake kwenda bwawani kuchota maji kwa ajili ya kupikia chakula cha usiku. Wakati Toma yuko bwawan... Read more »

Wednesday, November 21, 2012

KASUKU NA KUKU ALIYEGANDA!

Kasuku kameza vidonge vya Viagra. Kuona hivyo mmiliki wake akamchukua nakumuweka ndani ya friza ili apoe. Baada ya masaa mawili akafungu... Read more »

HEY LADIES!!

COFFEE

Mwalimu: which crops do we export to Europe? Mwanafunzi: Coffee Read more »

MZAMIAJI

  Jamaa mmoja alitoa kichekesho cha mwaka katika moja ya uzamiaji wake kwenye misiba kutoka Arusha, siku moja katika pitapita zake aliin... Read more »

Tuesday, November 20, 2012

Saturday, November 17, 2012

MGENI NA MWENYEJI WAKE

Wageni wengine hatari, hebu sikia hii: Read more »

MAISHA YA SHULE

Friday, November 16, 2012

DEREVA NA MASAI

Tobaa leo mchana nimeona kituko cha funga mwaka! Maasai alikuwa akigombania gia ya daladala na Dereva, Read more »

ZOBA NA GAZETI

Zoba alinunua gazeti akaingia nalo nyumbani kwa ujanja na kwenda kuliweka kwenye friji, Read more »

Thursday, November 15, 2012

AHEM!!! NAJIFUNZA KISWAHILI

MATATIZO YA ENGLISH MEDIUM SKULI KWA WATOTO WADOGO

Matatizo ya English Medium kwa watoto wadogo, siku moja mtoto alichukua cheti cha mama yake na kukisoma akakuta Read more »

Monday, November 12, 2012

NI BEEBE NI BEEBE!!

Mwizi acha atoe kali Mahakamani baada ya kusomewa mashitaka yake kuhusu wizi wa simu ya kiganjani, basi akapewa nafasi ya kujitetea i... Read more »

Sunday, November 11, 2012

MZEE NA BINTI YAKE MJAMZITO

Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa ujauzito huku akitweta kwa hasira. Walipofika: Read more »

Saturday, November 10, 2012

WASAMBAA WAWILI BAR

Wasambaa wawili waliingia mjini juzi tu. Walienda kupata moja moto moja baridi, wakiwa wanashangaa shangaa hawajui wanywe nini,  Read more »

MAMBO 10 YA KUSHANGAZA ULIMWENGUNI

Tuesday, November 6, 2012

Monday, November 5, 2012

WEEEE OMMY!!

Jamaa alikuwa anasafiri kwenda Ulaya akamwambia dereva wake ampeleke Air Port. wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau akamwam... Read more »

UNAPOZUNGUMZIA VYOO TANZANIA VIJIJINI

Saturday, November 3, 2012

TAKWIMU ZA MAPENZI

UBUNGO PLAZA

SEMINA UBUNGO PLAZA.......... Watu wakaanza kujitambulisha, WA KWANZA: Mimi naitwa Geni niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW WA ... Read more »

Thursday, November 1, 2012

KUTOKA MIREMBE

Kichaa mmoja kapiga simu hospitali. KICHAA: "Hallooo samahani eti chumba namba 17 kina mtu ?" NESI MAPOKEZI: "S... Read more »

Saturday, October 27, 2012

Thursday, October 25, 2012

FIKSI ZA DINGI

Sikia fiksi za dingi mmoja "Mwanangu mie ni mtu mkubwa sana hapa duniani, nimezunguka nchi nyingi sana hapa duniani mfano England... Read more »

VJIMAMBO VYA UTOTONI

Tuesday, October 23, 2012

MGAO WA MAJI

Jamaa alimwonea huruma mwanamke kila siku kusimama katika foleni ya maji, akamwambia "nikuoe utapumzika kwangu kuna kisima," mwa... Read more »

MKE MWENZA

 ".............Ilikuwa zamu ya Mke mdogo, pamoja na mlio wa kitanda kilicholemewa na mpambano mkali sauti laini ilisikika toka chumba... Read more »

Saturday, October 20, 2012

PANYA WA TATU!!

Siku moja Panya watatu walikuwa na ubishano mkali juu ya nani ni m'babe kuzidi wenzake, ubishi wenyewe ulikuwa hivi......... PA... Read more »

Friday, October 19, 2012

SIMPLE LOGIC

"......niliambiwa ulipokuwa mdogo ulikuwa unapenda mchezo wa kukimbia kwenye mvua ukiwa uchi, je? kwa umri huu wa sasa unapendelea... Read more »

HESHIMU NCHI YAKO!!!

Mwanamke moja alimpa Mume wake radio aende nayo Chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alivyotoka akamuuliza "... Read more »

Tuesday, October 16, 2012

UTAISOMA NAMBA!!!!!!!!

Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara! Kwa kuwa wako mbali mbali mikoani,akamwandikia barua, (Nimepata mpenzi mwengine... Read more »

Monday, October 15, 2012

KUTOKA MAHAKAMANI

Mhindi alikua akitoa ushahidi dhidi ya jamaa aliyefiwa na dame guest house wakati wanasex. HAKIMU: Shahidi ielezee mahakama ulivyo... Read more »

Saturday, October 13, 2012

BUSARA ZA KICHINA

Wachina si WAPUMBAVU kutengeneza vitu feki kulingana na fedha uliyonayo. Hata WALIMU tujitahidi kuboresha bidhaa zetu (WANAFUNZI) kati... Read more »