Tuesday, October 23, 2012

MGAO WA MAJI

Jamaa alimwonea huruma mwanamke kila siku kusimama katika foleni ya maji, akamwambia "nikuoe utapumzika kwangu kuna kisima," mwanamke akamuuliza "kwani wewe haujaoa?" Jamaa akamwambia "nina wake watatu." Mwanamke akamwambia "loo bora hiyo foleni ya maji kuliko foleni ya mboo."