Tuesday, October 16, 2012

UTAISOMA NAMBA!!!!!!!!


Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara! Kwa kuwa wako mbali mbali mikoani,akamwandikia barua, (Nimepata mpenzi mwengine wewe sikutaki tena! Kwa hiyo ile picha yangu niliyokupa nirudishie) Basi yule mdada akalia sana! Kwa uchungu.., akatafuta picha za wanaume kama kumi hivi akamtumia huyo jamaa na kumweleza "Hebu tafuta picha yako halafu unirudishie za mabwana wangu" Jamaa kwa hasira akajitia kitanzi.