Friday, October 19, 2012

HESHIMU NCHI YAKO!!!


Mwanamke moja alimpa Mume wake radio aende nayo Chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alivyotoka akamuuliza "enhee Mume wangu yapi uliyoenjoy ?" Mume akajibu "Ahaa....! wajinga hawa..!! wameniwekea wimbo wa taifa, hivyo nimekunya huku nimesimama."