Saturday, October 13, 2012

BUSARA ZA KICHINA


Wachina si WAPUMBAVU kutengeneza vitu feki kulingana na fedha uliyonayo. Hata WALIMU tujitahidi kuboresha bidhaa zetu (WANAFUNZI) katika kiwango cha feki zaidi kulingana na malipo ya serikali inayotoa, ya nini tutengeneze wanafunzi original ili hali serikali haina uwezo wa kugharamia vitu original?