Thursday, October 25, 2012

FIKSI ZA DINGI


Sikia fiksi za dingi mmoja "Mwanangu mie ni mtu mkubwa sana hapa duniani, nimezunguka nchi nyingi sana hapa duniani mfano England, Marekani, Afrika yote na nchi nyingine nyingi!!" Mtoto "kwa hiyo Baba wewe unaijua zaidi Geography?" Baba "sana pale Geography nilikaa wiki mbili lakini sikupata fursa ya kutembea maana nilikuwa ninaumwa." Mtoto "hahahahaha! acha fiksi Baba!"