Tuesday, December 18, 2012

MWIZI NA CHIZI


Mwizi kaiba tv na kuanza kukimbia nayo, kumbe ile nyumba mlikuwa na chizi akaanza kumkimbiza yule mwizi. Kila mwizi akiongeza mbio chizi nae huyo, mwishowe mwizi akasalimu amri na kusimama, yule chizi akamsogelea na kumwambia.. Daah umesahau remote hii hapa mwizi kachoka.