Friday, December 14, 2012

FAINI YA KUKOJOA HADHARANI


Polisi alimdaka jamaa anakojoa pembezoni mwa ukuta.
Polisi: Wewe unajua panakatazwa kukojoa hapa? Jamaa: Sasa nimebanwa nifanyaje? Polisi: Faini yake elfu tano. Jamaa akatoa noti ya elfu 10. Polisi: Sasa chenji tunaipataje? Jamaa: Tafuta chenji unipe changu. Polisi: Basi kojoa tena...