Tuesday, December 11, 2012

KAZI NI KAZI


MWALIMU:Haya watoto leo kila mtu atuambie kazi anayofanya mzazi wake,haya wewe?
MTOTO 1:Baba yangu injinia
MWALIMU:Safi na wewe
MTOTO 2:Mama yangu nesi
MWALIMU:Safiii,wewe

MTOTO 3:Mama yangu changudoa
MWALIMU:Pumbafu mkubwa wewe,kwanini unamdhalilisha mama yako,nenda mwenyewe kwa mwalimu wa nidhamu mwambie kwann nimekufuza............baada ya dakika kumi mtoto akarudi
MWALIMU:Umemwambia?
MTOTO 3:Nimemwambia,kasema kila kazi ina umuhimu wake,kaniomba na namba ya simu ya mama yangu.
Fundisho: Kila kazi ni muhimu