Tuesday, December 4, 2012

MWIZI MAKABURINI


Polisi walimfukuza Mwizi aliyetoroka jela usiku, Mwizi alikimbilia makaburini na kuvua nguo zote na kubakia mtupu akakaa juu ya kaburi moja.
Polisi walipofika pale walimuuliza: "Samahani ndugu umeona Mwizi kapita hapa?" Akajibu: "Ahh mie mwenyewe mgeni nimezikwa jana tu nimetoka nje kupunga upepo." Polisi mbio.