Tuesday, December 18, 2012

ETI HASIRA NI HASARA?


Baba na mtoto: 
Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini? 
Mtoto: Naenda chooni. 
Baba: Chooni? Kufanya nini? 
Mtoto: Kusafisha. 
Baba: Halafu ndio hasira zinaisha? 
Mtoto: Ndio nasafisha choo kwa mswaki wako.