Thursday, November 15, 2012

MATATIZO YA ENGLISH MEDIUM SKULI KWA WATOTO WADOGOMatatizo ya English Medium kwa watoto wadogo, siku moja mtoto alichukua cheti cha mama yake na kukisoma akakuta


Name : Sara Tunguli
Place : Shinyanga,
Birth : 1973
Sex : F
Mtoto akamwambia mamake"mama angalia sana baba asijekukuacha maana kwenye sex umefeli sana una "F"!
jikaze angalau upate "C".