Monday, November 5, 2012

WEEEE OMMY!!


Jamaa alikuwa anasafiri kwenda Ulaya akamwambia dereva wake ampeleke Air Port. wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau akamwamuru dereva ageuze gari, alipofika nyumbani alimkuta mkewe bafuni anaoga
 akaamua kumnyemelea na kumshika kiuno, mkewe akiwa na mapovu usoni akalitaja jina la yule dereva "we Ommy umeshamfikisha yule msenge Airport? acha nikuoshee mashine yako utaifaidi mwezi mzima." Je ungekuwa wewe ungefanya nini?