Saturday, November 3, 2012

UBUNGO PLAZA


SEMINA UBUNGO PLAZA.......... Watu wakaanza kujitambulisha,

WA KWANZA: Mimi naitwa Geni niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW

WA PILI: Mimi naitwa Tungu  niko UDSM mwaka wa tatu nasoma PUBLIC RELATION


WA TATU: (Kwa kusuasua sana huku akijishtukia) mimi naitwa Jilala niko TANESCO mwaka wa nne sasa nasoma MITA

Watu haaaaahahahah!!!